PRIME Simba kumfanyia umafia Inonga mchongo mzima upo hivi, asepa bila kuaga KATI ya sapraizi ambazo mashabiki wa Simba wanaweza kukumbana nazo wiki chache zijazo ni kung’oka kwa wakongwe wa kikosi hicho akiwemo Shomari Kapombe ambaye piga ua amekuwa hakosekani kwenye...
PRIME Dalali: Hiki ndio chanzo anguko la Simba SC, awauma sikio kamati ya usajili UNAJUA kwanini aliyekuwa mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali aliitwa Field Marshal?
AKILI ZA KIJIWENI: Arajiga yamemnyookea sasa kazi kwake HUU unaweza kuwa msimu mzuri wa soka kwa refa wa Tanzania mwenye beji ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Ahmed Arajiga kutokana na uzito wa michezo aliyochezesha.
Mpole, Ninja wasaka nafasi za CAF WATANZANIA wanaochezea soka Ligi Kuu ya DR Congo, mshambuliaji George Mpole (FC Lupopo) na beki Abdallah Shaibu 'Ninja' (Lubumbashi Sport), wamezungumzia namna kazi ilivyo ngumu kuelekea kumaliza...
AKILI ZA KIJIWENI: Geita Gold tuwaweke katika maombi BAADA ya kutoka sare ya bila kufungana na Coastal Union, haraka nikakimbilia msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ili nione Geita Gold iko nafasi ya ngapi na ina pointi ngapi.
Lomalisa: Mziki wa kina Pacome, Yao si mchezo BEKI wa Yanga, Joyce Lomalisa amesema ujio wa Pacome Zouzoua, Attohoula Yao umechangia kwa kiasi kikubwa timu yao kutwaa taji la tatu mfululizo ambalo ni la 30 tangu wameanza kushiriki Ligi Kuu...
Samasoti baharini inayolipa vijana mkwanja wa maana MAKACHU ni mchezo unaochezwa sana maeneo ya Forodhani, Zanzibar katika Bahari ya Hindi, kwa wachezaji kujirusha umbali mrefu kutoka nchi kavu hadi majini. Lakini, nyuma ya mchezo huo kuna...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
Thiago Silva kama kawa amemalizia hisani nyumbani YUKO wapi yule aliyesema hisani inaanzia nyumbani? Wazungu huwa wanaandika kwa Kiingereza chao kizuri ‘charity begins at home’. Ni kweli. Lakini Wabrazil nao wangeweza kuendeleza sentensi hiyo na...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Vijana wa Emery na rekodi mpya Aston Villa chini ya kocha mwenye rekodi kali Ulaya Unai Emery, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1996, itashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao, jambo ambalo ilikuwa halitarajiwi na...